Last week yote nimekua nikiskia sauti ya Nyash ikiongea na sol yangu ,,sauti inaniambia tujiangalie,, but unlucky for me niko na shida ya macho na najua pia wengi wenu wako blinded na Love,,, the few who can see nacheki wakiangalia nyuma,,wako salty,,,wishing and reminiscing on the good old days.
Days yenye noti ilikua hadi ya 5 bob na the only mashillingi tulikua nazo ni za kichwa.. Days mtura piece ilikua Bob na Watu hawakua wanaiba Mali instead ungewapata ma youth waki imba along to tunes za Bob Marley.
Days kulikua na maziwa free shule achana na siku hizi yenye apart from maziwa pia unalipia fee ya shule na watoi hawajui ata ku tie shoe lace..
Nashikwa na feeling ya ki nostalgia nikikumbuka dem days, the only thing watu walifurahi kuona uchi ni chicken ikipiga samaa,,achana na siku hizi hawa ma dem wana pose for pics uchi waki blue tick boychild mwenye asubuhi aliamkia uji ...
Siku hizi life ni ironical,,, kuombewa lazima ulipie na yet bado kuna mtu anatudanganya the best things in life are free,,, then if it is so mbona ma boy wenye hawaezi pelekana java the only date wanaeza pata ni ile ya back to school. Life ni ironical siku hizi,,, una post nudes status yet unaogopa ku jua your HIV status.. Financial status inakua determined na how many bottles you can drink on one night so mwenye ana opt ku kaa kejani on a weekend anakua considered poor,,,
Its time I donated sensiminia to this millennial juu walai sense is mean here,,, unakua judged juu vitabu zako hazina cover,,,wanakuita care less juu you never cared much about them.
So hata Kina Shinki wakisema tujiangalie nashangaa tutaanza vipi na venye watu wametoboa mwili yote hadi macho,,,
Gavaa ina tupima na handshake,,, ma polisi wanataka kusalimiwa na kikombe ya chai hata ka jua imewaka hadi kwa mfuko,,,,Gavaa ina claim ina build bridges yet wako fast kubomoa buildings,,,so si wa raia tuna shangaa tutaishi wapi juu wakina Raila tunajua apart from Bondo wakona makeja zingine mob.
Its time nieke kalamu chini niache ku pen down but na hope hii message itafikia hadi wale wenye wame ban plastic juu walai me sioni nikaandika na pencil,,,naogopa ku mbao
*Doluh words*
© *2018*
True story๐๐
ReplyDelete๐๐๐Thumbs up
ReplyDelete